Daily Archives: April 5, 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU , KAMSHNA WA TRA, NA MABALOZI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM APRIL 5,2017

 

 

Rais John Pombe Magufuli akimwapisha Prof. Kitilia Alexander Mkumbo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017     

 

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Dkt. Leonard akwilapo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017     

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Dkt. Ave Maria Semakafu kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017

 

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017   

 

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania Nchini India Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017    

 

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017    

 

Kamshna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Charles Edward Kichele, Balozi wa Tanzania nchini Idia Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Sylvester Ambokile Mwakinyuke, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Ave Maria Semakafu, Katibu Mkuu wa wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitilia Alexander Mkumbo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakisoma na kusaini Hati ya kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa na Rais Ikulu Jijini Dar es salaam April 5,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganoi wa Tanzani Mhe. Samia Hassan Suluhu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Kamshna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Charles Edward Kichele, Balozi wa Tanzania nchini Idia Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Sylvester Ambokile Mwakinyuke, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Ave Maria Semakafu, Katibu Mkuu wa wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitilia Alexander Mkumbo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia mara baada ya kuapishwa na Rais Ikulu Jijini Dar es salaam April 5,2017