Daily Archives: May 12, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JAKOB ZUMA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM – MEI 11,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam Mei 11,2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigongesha girasi na mgeni wake Jacob Zuma Rais wa afrika kusini Ikulu jijini wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Dar es salaam Mei 11,2017 

Wakati wa nyimbo za mataifa yote  mawili

Rais wa Afrika Kusini akihutubia katika dhifa ya kitaifa aliyoandalia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili yake Ikulu jijini dar es salaam Mei 11,2017 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mhe. Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam mara baada ya dhifa ya kitaifa aliyoandalia na Rais Dkt. John Pombe Magufuli

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mama Janeth Magufuli wakiagana na Mhe. Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam mara baada ya dhifa ya kitaifa aliyoandalia na Rais Dkt. John Pombe Magufuli