Daily Archives: May 16, 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) ALIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 16,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang wanne kutoka (kushoto) Gavana wa Benki Kuu (BOT) Profesa Beno Ndulu, wapili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe wa Mkurugenzi huyo wa IMF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam Mei 16,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMETEMBELEA SHIRIKA LA TAIFA LA UTANGAZAJI TBC NA KUONGEA NA WAFANYAKAZI MEI 16,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison George Mwakyembe alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar es salaam na kuongea na wafanyakazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Mkurugezi Mkuu wa Shirika la Habari na Utangazaji Ayob Rioba alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar es salaam na kuongea na wafanyakazi

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akioneshwa sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa katika moja ya  studio za Televisheni za  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na watumishi Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi

 

 

Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) wakimsikiliza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli wakati alipotembelea Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia uendeshaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisikiliza kero mbalimbali za wafanyakazi wa  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akitembezwa maeneo mbalimbali ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi