Daily Archives: May 21, 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WASAINI TAMKO LA PAMOJA LA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA-TANGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 21, 2017

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakiwa na watendaji wa pande zote mbili baada ya kukamilika zoezi la utiaji saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Mei 21, 2017

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakiwa na Mawaziri na  maafisa waandamizi wa pande zote mbili baada ya kukamilika zoezi la utiaji saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Mei 21, 2017

 

Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea baada ya yeye na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kukamilisha zoezi la utiaji saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Mei 21, 2017

Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akiongea baada ya yeye na Rais Dkt John Pombe Magufuli  wa Tanzania kukamuilisha   zoezi la utiaji saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Mei 21, 2017

 

 

 

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakitia saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Mei 21, 2017