Daily Archives: June 6, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA ANNA ELISHA MGWIRA, MKUU MPYA WA MKOA WA KILIMANJARO JUNE 6, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Mkuu wa mkoa kilimanjaro  Anna Elisha Mgwira akisoma hati ya kiapo cha maadili ya utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Mkuu wa mkoa kilimanjaro  Anna Elisha Mgwira akisaini hati ya kiapo cha maadili ya utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

 

Mkuu wa mkoa kilimanjaro  Anna Elisha Mgwira akiongea jambo la shukrani  mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  jambo mara baada ya kumuapisha  Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro  Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Baadhi ya viongozi mabilimbali waliohudhuria kwenye uapisho wa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro  Anna Elisha Mgwira  alipoapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Waziri Mkuu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa  akimpongeza Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi  akimpongeza Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baaya ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira  mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Naibu katibu mkuu wa CCM bara Rodrick Mpogolo  katika  picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira na viongozi mbalimbali wa serikali mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu  Rodrick Mpogolo akimkabidhi  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa huyo kwenda kuitekeleza ilani hiyo katika kazi yake ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro  mara baada ya kuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira akiingia kwenye gari lake  kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake Mkoani kilimanjaro mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017