Daily Archives: August 3, 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI KWA ZIARA SIKU 5 MKOANI TANGA AGOSTI 3,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mkata wakati alipokuwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Mkata waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze-Segera (hawaonekani pichani) mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kijiji cha Mkata mkoani Tanga

Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga akiwemo Wabunge na wakuu wa Wilaya wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia Mkata mkoani Tanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze Segera katika eneo la Kwa mkonga wakati akiwa njiani kuelekea Tanga.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kabuku Handeni mkoani Tanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Kabuku mara baada ya kumaliza kuwahutubia wakati akielekea mkoani Tanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela kabla ya kuwahutubia wananchi wa Hale Mkoani Tanga Rais ameanza ziara Rasmi Mkoani Tanga Agosti 3,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Hale mkoani Tanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja ya wakazi wa Hale mkoani Tanga mara baada ya kuhutubia katika eneo hilo.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza   Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Hadija Juma mara baada ya kusoma ujumbe ulioandikwa kwenye sare aliyovaa mama huyo  ulioandikwa ”BAKI CCM MCHEPUKO SIYO DILI”  Rais aliposimama eneo la Hale mkoani Tanga kuwasalimia wananchi akiwa njiani kuelekea Mjini Tanga kwa Ziara ya Siku 5 Mkoani humo

Wananchi wa Muheza wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kufika katika eneo hilo la mjini akiwa njiani kuelekea Tanga. PICHA NA IKULU

RAIS DKTJOHN POMBE MAGUFULI ATOA POLE MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT.STEPHEN JUMA MDACHI AGOSTI 2,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mama Mary Mdachi, mjane wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wana familia wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo ya msiba wa  Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.