Monthly Archives: September 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEMALIZA ZIARA YA SIKU SITA (6) MKOANI ARUSHA.SEPTEMBA 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Baadhi ya wananchi wa njiapanda ya KIA wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nao mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Bi.Anna E lisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katikati ni Bi.Anna Elisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi.Anna Elisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kulia ni Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

 

 

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMIRI JESHI MKUU DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA 422 WA JESHI LA WANANCHI (JWTZ)MKOANI ARUSHA SEPTEMBA 23,2017.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua paredi ya maafisa wapya kundi la 61/16 kabla ya kuwatunuku kamisheni kuwa maafisa wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa shekhe Amri Abeid Arusha Septemba,23 ,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  wananchi wa mkoa wa Arusha baada ya kuwatunuku kamisheni maafisa 422 wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa shekhe Amri Abeid Arusha Septemba,23 ,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya kuwatunuku kamisheni maafisa 422  wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa shekhe Amri Abeid Arusha Septemba,23 ,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji mkuu mstaafu Agustino Ramadhani wakati wa sherehe ya kuwatunuku kamisheni maafisa wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Ukumbi wa AICC Arusha Septemba,23 ,2017.

Maafisa wapya kundi la 61/1 wakivaa vyeo vipya mara baada ya kutunukiwa kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani na Amiri jeshi mkuu Dkt.John Pombe Magufuli kuwa maafisa wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa shekhe Amri Abeid Arusha Septemba 23,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja waambata wa kijeshi kutoka nchi mbalimbali za Afrika mara baada ya  kuwatunuku kamisheni  maafisa 422 wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa shekhe Amri Abeid Arusha Septemba,23 ,2017.