Daily Archives: September 25, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEMALIZA ZIARA YA SIKU SITA (6) MKOANI ARUSHA.SEPTEMBA 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Baadhi ya wananchi wa njiapanda ya KIA wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nao mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Bi.Anna E lisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katikati ni Bi.Anna Elisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi.Anna Elisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kulia ni Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.