Daily Archives: September 27, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBA 27,2017.

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na ndg,Rodrick Mpogoro naibu katibu mkuu CCM bara   wakielekea kwenye ukumbi kwaajili ya Kikao cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dar es Salaam septemba 27,2017.

Makamu mwenyekiti wa CCM bara ndg,Philip Mangula akikaribishwa na ndg,Rodrick Mpogoro naibu katibu mkuu CCM bara   kwenye ukumbi kwaajili ya Kikao cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dar es Salaam septemba 27,2017.

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dar es Salaam Septemba 27,2017

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwa pamoja na Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM, mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho jijini Dar es Salaam septemba 27,2017.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Salim Ahmed Salim mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati kuu ya chama cha mapinduzi CCM kilichofanyika  jijini Dar es Salaam septemba 27,2017.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakifurahia jambo  na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati kuu ya chama cha mapinduzi CCM kilichofanyika  jijini Dar es Salaam septemba 27,2017.

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza  na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati kuu ya chama cha mapinduzi CCM kilichofanyika  jijini Dar es Salaam septemba 27,2017.

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akifurahi na  Makamu mwenyekiti wa CCM bara ndg.Philip Mangula,kulia ni ndg,Rodrick Mpogoro ambaye ni naibu katibu mkuu bara mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati kuu ya chama cha mapinduzi CCM kilichofanyika  jijini Dar es Salaam septemba 27,2017.