Daily Archives: October 3, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA ALAT JIJINI DAR ES SALAAM,OKTOBA 3,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Ndg. Isaya Mwita ambaye ni Mstahiki meya wa Jiji la Dar esa laam kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipewa melezo kutoka kwa mmoja ya wafanyabiashara waliojitokeza wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipewa melezo kutoka kwa mmoja ya wafanyabiashara waliojitokeza wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipokea risala kutoka kwa mwenyekiti wa Jumuiya ya serikali za mitaa nchini Tanzania,ambaye ni mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Mhe, Gulam Hafeez Mukadam  wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.

 Waziri mkuu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majariwa kassim Majariwa akiwahutubia wajumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Ndg. Isaya Mwita ambaye ni Mstahiki meya wa Jiji la Dar esa laam katikati ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe,Majariwa Kassim Majariwa pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndg,Paul Makonda mara baada  ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Ndg. Isaya Mwita ambaye ni Mstahiki meya wa Jiji la Dar esa laam  pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndg,Paul Makonda mara baada ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa  wa Mwalimu Nyerere  Jijini Dar es salaam Oktoba3,2017.