Daily Archives: October 5, 2017

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 5,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Issa Suleiman Nassor  kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri, Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwangalia Balozi Issa Suleiman Nassor akiweka sahihi kwenye ya hati ya kiapo cha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri, Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Balozi Abdulrahaman Kaniki  mara baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Lusaka – Zambia, Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.

Balozi Issa Suleiman Nassor aliyeteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri pamoja na Balozi Abdulrahaman Kaniki aliyeteuliwa kuwa Balozi Lusaka – Zambia mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwasikiliza balozi Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahaman Kaniki wakila kiapo cha maadili mbele ya kamishina wa tume ya maadili ya viongozi wa umma Jaji mstaafu Haroid Msekela mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri mkuu Kassim Majaliwa,Balozi  Dkt.John Kijazi katibu mkuu kiongozi,Naibu waziri wa Mambo ya nje Dkt.Suzan Alfonce Kolimba,Katibu mkuu Wizara ya mambo nje Balozi Dkt.Azizi Mlima,Balozi Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahaman Kaniki  mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri mkuu Kassim Majaliwa,Balozi  Dkt.John Kijazi katibu mkuu kiongozi,Naibu waziri wa Mambo ya nje Dkt.Suzan Alfonce Kolimba,Katibu mkuu Wizara ya mambo nje Balozi Dkt.Azizi Mlima,Balozi Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahaman Kaniki pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipata kinywaji  na Waziri mkuu Kassim Majaliwa,Balozi  Dkt.John Kijazi katibu mkuu kiongozi,Naibu waziri wa Mambo ya nje Dkt.Suzan Alfonce Kolimba,Katibu mkuu Wizara ya mambo nje Balozi Dkt.Azizi Mlima,Balozi Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahaman Kaniki  mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 5,2017.