Daily Archives: November 25, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI ILIYOPO KAMPASI YA MLOGANZILA NOVEMBA 25,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipewa maelekezo ya jengo na Prof.Appolinary Kamuhabwa makamu mkuu wa chuo wakati wa sherehe ya ufunguzi wa hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo  kuhusu namna ya kukusanya vipimo na kupeleka kwenye uchunguzi wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiongea na  Prof.Appolinary Kamuhabwa makamu mkuu wa chuo wakati wa sherehe ya ufunguzi wa hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo  kuhusu kipimo cha CT-SCAN wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mrakibu wa Polisi Pius Lutumo aliyepata majeraha  wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Makamu wa Rais mstaafu Dkt.Gharibu Mohammed Bilali ,Spika mstaafu Bi.Anna Makinda,Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda pamoja na Peter Serukamba Mbunge na mweneyekiti wa kamti ya kudumu ya Bunge ya huduma na maendeleo ya jamii  wakielekea kwenye sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na Balozi wa Japani Nchini Mhe,Geum- Young Song ,Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Waziri mkuu msataafu Mhe,Mizengo Pinda pamoja na viongozi wengine wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japani Nchini Mhe,Geum- Young Song  wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Balozi wa Japani Nchini Mhe,Geum- Young Song  akiwahutubia wananchi mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Balozi wa Japani Nchini Mhe,Geum- Young Song  akiwashukuru Watanzania  mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza kuhutubia wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Japani Nchini Mhe,Geum- Young Song  baada ya hotuba yake wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

 

Makamu wa Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Watanzania mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

 

 

 

 

 

 

Baadhi ya wageni kutoka Mataifa mbalimbali likiongozwa na Korea waliohudhuria  wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mheshimiwa Rais Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimpa Mkono Makamu wa Rais mstaafu Dkt.Ghalib Bilali mara baada ya kufungua rasmi hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Muonekano wa mbele wa jengo la MUHAS lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Bendi ya Msanii Mrisho Mpoto wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Bendi ya Msanii Mrisho Mpoto wakitoa burudani wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wananchi  wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Waziri mkuu mstaafu Mheshimiwa Mizengo Pinda mara baada ya ufunguzi wa  hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili iliyopo kampasi ya Mloganzila Novemba 25,2017.