Daily Archives: December 13, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA 150 ZA SHIRIKA LA NYUMBA NHC ZILIZOPO IYUMBU MKOANI DODOMA DISEMBA 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt.Bilinith Mahenge alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma  disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya shirika la nyumba NHC  Brandina Nyoni alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

Muonekano wa baadhi ya nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli disemba 13,2017.

 Mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba NHC  Nehemia Mchechu  akihutubia mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

 

Waziri wa nyumba na makzai Mhe.Wiliam Lukuvi akihutubia mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya shirika la nyumba NHC  Brandina Nyoni katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi kabla ya ufunguzi katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimpa mkono wa pongezi mbunge wa Dodoma Mjini ambae pia ni Naibu waziri wa Ajira,Vijana ,Kazi na walemavu Anthony Mavunde mara baada ya kufunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akijaribu kufungua bomba la maji katika moja ya nyumba aliyoingia kukagua mara baada ya  kufungua wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiangalia miundombinu ya chumbani katika moja ya nyumba aliyoingia kukagua mara baada ya  kufungua wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na msanii Mrisho Mpoto na kundi lake pamoja na msanii wa kikundi cha Mwanamila cha Dodoma  mara baada ya  kufungua wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA TAWI LA BENKI YA CRDB JENGO LA LAPF DODOMA DISEMBA13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB alipokuwa akiwasili wakati wa sherehe za Ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Jobu Ndugai wakati wa sherehe za Ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wa kitaifa wakiimba wimbo wa taifa wakti wa sherehe za ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

 Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB pamoja Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei wakimkabidhi hundi ya shilingi milioni 100 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya Ufadhili wa miradi mbalimbali ya maendeleo kabla ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikabidhi mfano wa hundi ya milioni 100 kwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt.Bilinith Mahenge kwaajili ya ujenzi wa Hodi katika Hospitali ya mkoa Dodoma  mara baada ya kukabidhiwa hundi hiyo na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Bw.Ally Laay kabla ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kabla ya  kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri mkuu mstaafu wa  Jamhuri ya Muungano  Mzee John Malecela mara baada ya kuhutubia wakati wa kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashilia kufungua rasmi tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Jobu Ndugai mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Waziri wa kwanza wa Serikali za Mitaa nchini Balozi mzee Job Lusinde mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpongeza  Msanii wa muziki wa kizazi kipya Peter Msechu mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.