Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akisaliamiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mkoani Dodoma Disemba 15, 2017.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiimba wimbo pamoja na wajumbe wengine katika kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma Disemba 15, 2017.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma Disemba 15, 2017.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akioongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma Disemba 15, 2017