Daily Archives: December 17, 2017

RAIS DKT.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI KATIKA KANISA KUU LA MTAKATIFU PAULO WA MSALABA JIMBO KUU LA DODOMA ,PIA AMEONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI NA MKUTANO WA HALIMASHAURI KUU YA CCM (NEC) MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA DISEMBA 17,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli wakiwa pamoja na masista  na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania General Vernance Mabeyo akiwa na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma kusali ibada ya Jumapili ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli wameudhulia.Disemba 17,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani mmoja wa Masista wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki kutoa sadaka katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma alipohudhuria kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

 Mhe.Mama Janeth Magufuli mke wa Rais akishiriki kutoa sadaka katika  Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma aliposhiriki kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru  Padre Fr. Sergio Madinda  na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma aliposhiriki ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru (kulia) Padre Fr. Sergio Madinda  na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma aliposhiriki ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

Masista na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wakishiriki ibada ya Jumapili ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli wamehudhuria  ibada hiyo.Disemba 17,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Masista wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma mara baada ya kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya Waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma mara baada ya kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanafunzi wa shule ya Sekondari Huduma nje ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma mara baada ya kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanafunzi wa shule ya Sekondari Huduma nje ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma mara baada ya kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati kuu cha Chama cha Mapinduzi  Makao makuu ya CCM Dodoma.Disemba 17,2017.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati kuu cha Chama cha Mapinduzi(CC) kabla ya mkutano wa Halimashauri kuu ya chama cha mapinduzi(NEC),Makao makuu ya CCM Dodoma.Disemba 17,2017.

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na wajumbe wengine  wakiimba wimbo kabla ya kuanza rasmi  mkutano wa Halimashauri kuu ya chama cha mapinduzi (NEC),Makao makuu ya CCM Dodoma.Disemba 17,2017.

 

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza  mkutano wa Halimashauri kuu ya chama cha mapinduzi (NEC),Makao makuu ya CCM Dodoma.Disemba 17,2017.