Daily Archives: January 2, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO MHE,DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATOA POLE KWA MHE.KANGI LUGOLA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS,MUUNGANO NA MAZINGIRA KWA KUFIWA NA MKEWE KAMISHINA MSAIDIZI WA POLISI MARY LUGOLA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombelezo nyumbani Gerezani Railway club kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe,Alphaxard Lugola aliyefiwa na mkewe Kamishina msaidizi wa Polisi Mary Lugola Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe,Alphaxard Lugola alipoenda kumpa pole ya kufiwa na mkewe Kamishina msaidizi wa Polisi Mary Lugola Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe,Alphaxard Lugola alipoenda kumpa pole ya kufiwa na mkewe Kamishina msaidizi wa Polisi Mary Lugola Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MZEE NGUZA VICKING PAMOJA NA FAMILIA YAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JANUARI 2,2018.

Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) akiwa na watoto wake Papii Nguza (Papii Kocha),Francis Nguza pamoja na Nguza Mbangu walipomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya kumshukuru Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

 

Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) akifurahi na watoto wake Papii Nguza (Papii Kocha),Nguza Mbangu pamoja na Francis Nguza walipomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya kumshukuru Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mzee Nguza Vicking(Babu Seya)aliyeambatana na familia yake kwaajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mzee Nguza Vicking(Babu Seya)pamoja na familia yake walipomtembelea kwaajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na Mzee Nguza Vicking(Babu Seya)pamoja na familia yake wakiomba dua walipomtembelea kwaajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mzee Nguza Vicking(Babu Seya)pamoja na familia yake walipomtembelea kwaajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

 Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) akizungumza na wanahabari mara baada ya  kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli  walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.

Papii Nguza (Papii Kocha) akionyesha alama ya mchoro unaosomeka ” JPM “mara baada ya  kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli  walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.