Daily Archives: January 19, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI KATIKA UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE(JNICC) JIJINI DAR ES SALAAM.JANUARI 19,2018.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli(katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Agustine Mahiga ,wengine ni Dkt.Suzan Kolimba(wakwanza kushoto),Naibu waziri wa Mambo ya nje,Profesa Makame Mbalawa(wa pili kutoka kushoto)  wakati wa Mazungumzo Na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Agustine Mahiga akimkaribisha Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli(katikati) ,Balozi Ali Karume Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar (Wakwanza kulia)wakati wa Mazungumzo Na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Selestine Mushi alipokutana na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mmoja wa wakurugenzi alipokutana na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza ndugu Maduhu alipokutana na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Baadhi ya Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia alipokutana na kufanya mazungumzo na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia alipokutana na kufanya mazungumzo na Wafanyakazi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Agustine Mahiga alipokutana na kufanya mazungumzo na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

 

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baadhi ya Watumishi mara baada ya kumaliza mazungumzo na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baadhi ya Watumishi mara baada ya kumaliza mazungumzo na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baadhi ya Watumishi mara baada ya kumaliza mazungumzo na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi Ali Karume Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar mara baada ya kumaliza mazungumzo na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Profesa Makame Mbalawa Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi mara baada ya kumaliza mazungumzo na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018.