Daily Archives: February 1, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MWAKA MPYA WA MAHAKAMAJIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 1,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza Viongozi mbalimbali kuimba wimbo wa Taifa wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa  Ibrahim Juma akihutubia mbele ya Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Baadhi ya Mabalozi wa Nchi mbalimbali pamoja na wanachi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akitoa hotuba yake wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa  Ibrahim Juma mara baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim  Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Omar Makungu,Naibu spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora –  Mhe George Mkuchika katika picha ya pamoja na viongozi wa dini na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuhutubia wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim  Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Omar Makungu,Naibu spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora –  Mhe George Mkuchika katika picha ya pamoja na Majaji  Wastaafu baada ya kuhutubia wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha CHAUMA Hashimu Rungwe Sipunda  katika maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Mhe. Godwin Ngwilimi  baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama au Siku ya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 1,2018.