Daily Archives: February 3, 2018

AMIRI JESHI MKUU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA192 WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA BAADHI WA NCHI MARAFIKI NA KUWAAPISHA VIONGOZI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kutunuku Kamisheni katika Viwanja vya Ikulu.

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wapatao 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi pamoja na baadhi kutoka nchi marafiki.Februari 3,2018.

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi pamoja na baadhi kutoka nchi marafiki kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.Februari 3,2018.

 

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi marafiki katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.Februari3,2018.

 

Mafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi wakivalishana vyeo mara baada ya Kutunukiwa Kamisheni na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi wakila Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ikulu mara baada ya kutunukiwa Kamisheni.Februari3,2018.

Baadhi ya wazazi ,ndugu,jamaa na marafiki wakiwashuhudia Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi wakila Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ikulu mara baada ya kutunukiwa Kamisheni.Februari3,2018.

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma wakati Bendi ya Jeshi la Ulinzi ilipokuwa ikitoa burudani katika viwanja vya Ikulu mara baada ya kuisha kwa shughuli za Kutunuku Kamisheni.

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo, Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli (TMA) Meja Jenerali Paul Peter Masao katika picha ya pamoja na Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi pamoja na baadhi kutoka nchi marafiki mara baada ya kuwatunuku Kamisheni.Februari3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha ndugu Gerson Mdemu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ,katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt.Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali,katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo cha ndugu George Masaju (hayupo pichani)aliyehapa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ,kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Jaji George Masaju wakwanza kutoka kulia,Jaji Gerson Mdemu walioapa kuwa majaji wa Mahakama Kuu,Dkt.Adelardus Kilangi aliyeapa kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali na Paulo Ngwembe aliyeapa kuwa Naibu mwanasheria mkuu wa Serikali wakiapa kiapo cha Maadili ya Viongozi kwa Utumishi wa Umma mbele ya Kamishina wa Tume hiyo Jaji mstaafu Haroid Msakela ,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

Jaji George Masaju akizumgumza mara baada ya kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

 

Jaji Gerson Mdemu akizumgumza mara baada ya kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

Dkt.Adelardus Kilangi akizumgumza mara baada ya kuapishwa kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

Ndugu Paulo Ngwembe akizumgumza mara baada ya kuapishwa kuwa Naibu Mwanasheria mkuu wa Serikali na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Jaji Gerson Mdemu  mara baada ya kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu,Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,Jaji mkuu Profesa Ibrahimu Juma,Naibu spika Dkt.Tulia Ackson,Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba Kabudi,Naibu Katibu mkuu Wizara ya katiba na sheria Amon Mpanju  na Jaji George Masaju,Jaji Gerson Mdemu walioapa kuwa majaji wa Mahakama Kuu,Dkt.Adelardus Kilangi aliyeapa kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali na Paulo Ngwembe aliyeapa kuwa Naibu mwanasheria mkuu wa Serikali  Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari3,2018.