Daily Archives: March 26, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA DAWA JIJINI DAR ES SALAAM ,MACHI 26,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari  181,Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu,Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.Machi 26,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala la Dawa katika  Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari  181,Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu,Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.Machi 26,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu,Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa katika Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari  181.Machi 26,2018.

 

Sehemu ya  magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) yakisubiri kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Jijini Dar es salaam Machi 26, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) jijini Dar es salaam Machi 26, 2018.

Sehemu ya wafanyakazi wa MSD wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  wakati akihutubiakwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) jijini Dar es salaam , Machi 26, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe Pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi yaGlobal Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) jijini Dar es salaam, Machi 26, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi yaGlobal Fund Bw. Linden Morrison akijaribu moja ya magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam,Machi 26, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru  Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison wakati akijaribu moja ya magari  181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) mara baada ya kuyazindua jijini Dar es salaam Machi 26, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD)  aliyoyazindua Jijini Dar es salaam ,Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.

Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakipiga picha msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison  (chini kushoto) na viongozi wengine wakati wakielekea kukagua  magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam, Machi 26, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison  mara baada ya kuzindua   magari  181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) Jijini Dar es salaam, Machi 26, 2018.