Daily Archives: April 2, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI PIA APOKEA NDEGE MPYA YA BOMBARDIER Q400 KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS NYERERE.APRIL 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwaongoza viongozi wengine na wananchi waliohudhuria kuimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Rada mpya katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar Es Salaam.April 2,2018.

Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wakiwa wamesimama kuimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Rada mpya katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar Es Salaam.April 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Rada mpya katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar Es Salaam.April 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mkono na Bi.Anna Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Rada mpya katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar Es Salaam.April 2,2018.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akizungumza  wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Rada mpya katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar Es Salaam.April 2,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Aprili 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akipata maelezo ya toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga TCAA Bw. Hamza Johari  katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Aprili 2, 2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum mara baada ya kuweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Aprili 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum akiimba mara baada ya kuweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Aprili 2,2018.

Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikitua kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.Aprili 2,2018

 

Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere huku ikipewa heshma ya kumwagiwa maji(water salute) mara baada ya kutua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kulia, pamoja na viongozi mbalimbali wa dini, viongozi wa Serikali wakipiga makofi wakati wakiipokea Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwa imepaki mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ndege Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, wakisalimiana na wafanayakazi wa shirika la ndege Tanzania ATC mara baada ya kukata  utepe kuashiria uzinduzi wa ndege Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono na kushukuru wakati akiingia katika ndege hiyo mpya ya Bombardier Q400 iliyowasili kutoka nchini Canada.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wa dini na wa ATC ndani ya ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada.Aprili 2, 2018 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono marubani wawili waliokuja na ndege hiyo mpya.Aprili 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya KKKT Dkt.  Alex Malasusa baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, Aprili 2, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga mara baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada,Aprili 2, 2018