Daily Archives: May 2, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA NA CHUO KIKUU KISHIRIKISHI CHA ELIMU MKWAWA.MEI 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mhandisi wa Wakala wa Majengo TBA akitoa maelezo ya Mradi kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kufunua kitambaa kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah  alipowasili kuweka jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2, 2018

 Vijana chipukizi wa Kilolo  wakitoa burudani mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuhutubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akitambukushwa kwa wabunge wa mkoa wa Iringa na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa   jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. Mei 2, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

Viongozi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

Wabunge wa Mkoa wa Iringa wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwatubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na  Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa   jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi kwa kuimba nyimbo na vijana chipukizi wa Kilolo mara baada ya kuhutubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.Mei 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kalambo zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.Mei 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kalambo zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.Mei 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iringa vijijini katika eneo la Ndiwili (hawaonekani pichani) wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.Mei 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ipogolo mkoni Iringa wakati akitokea Kilolo.Mei 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ipogolo mkoni Iringa wakati akitokea Kilolo.Mei 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea.Mei 2, 2018 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zwadi kutoa kwa Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea chuoni hapo,Kulia ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Profesa Bonaventure Rutinwa.Mei 2, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea.Mei 2, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya  wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea.Mei 2, 2018 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ujenzi wa ukumbi wa  Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea.Mei 2, 2018 .

Muonekano wa chuo kishirikishi cha Ualimu Mkwawa

 

Muonekano wa chuo kishirikishi cha Ualimu Mkwawa