Daily Archives: May 3, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA CHAKULA CHA KUKU,BARABARA YA IYOVI – MAFINGA NA KUHANI MSIBA WA MZEE KANDORO,IHEMI IRINGA.MEI 3,2018

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na uongozi wa kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa kabla ya kukizindua rasmi.Mei 3, 2018

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi na wafanyakazi wa kiwanda mara baada ya kuwasili  katika kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa kabla ya kukizindua rasmi. Mei 3, 2018

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi na wafanyakazi wa kiwanda mara baada ya kuwasili  katika kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa kabla ya kukizindua rasmi.Mei 3, 2018.

 

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa.Mei 3, 2018.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa.Mei 3, 2018.

 

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa. Mei 3, 2018.

 

 

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa. Mei 3, 2018.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Msenza alipowasili eneo la Ihema kuzindua barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga mkoani Iringa,Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na kulia kwa Rais ni Mama Janeth Magufuli.Mei 3,2018.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na Naibu Balozi wa Denmark nchini Mhe. Camilla Christensen wenye sherehe za uzinduzi wa barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la Ihema mkoani Iringa.Mei 3, 2018.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Balozi wa Denmark nchini Mhe. Camilla Christensen na viongozi wengine wakizindua barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la Ihema mkoani Iringa.Mei 3, 2018.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Balozi wa Denmark nchini Mhe. Camilla Christensen na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la Ihema mkoani Iringa.Mei 3, 2018.

Sehemu ya barabara iliyozinduliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la Ihema mkoani Iringa.Mei 3, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa.Mei 3, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa pole kwa wafiwa walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa.Mei 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitambulishwa kwa watoto wa marehemu walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa.Mei 3, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiomba dua pamoja na wafiwa walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa.Mei 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiondoka mara baada ya kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa.Mei 3 2018.