Daily Archives: May 7, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE KILICHOPO MKOANI MOROGORO.MEI 7,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Magezera mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa magereza Mwandamizi (SACP) Mzee ramadhani Nyamka alipowasili Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo.Mei 7, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi na Waadhiri wa chuo alipowasili Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo.Mei 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho.Mei 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribisha maswali, maoni na ushauri toka kwa  jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho. Wengine toka kulia ni Mama Janeth Magufuli, Makamu Mkuu wa SUA Profesa  Raphael Tihelwa Chibunda,  Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe stephen Kebwe.Mei 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa taarifa nzuri Makamu Mkuu wa  Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael Tihelwa Chibunda alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho. Mei 7, 2018.

 

Sehemu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho. Mei 7, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungiana mikono na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao.Mei 7, 2018.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya  wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao.Mei 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa alipotembelea   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na kukutana na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa chuo hicho.Mei 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bw. Tandari baada ya kukutana na  kuongea na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada.Mei 7, 2018.  

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA MABASI CHA KISASA CHA MSAMVU MKOANI MOROGORO.MEI 6,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliomsimamisha njiani akitokea Ifakara akielekea Morogoro mjini kwenye uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli alikposimama kuzungumza nao akitokea Ifakara akielekea Morogoro mjini kwenye uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana  na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama alipowasili kwenye uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana  na viongozi wa dini kabla ya uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mkono na Mbunge wa Morogoro mjini Mhe.Abdulaziz Abood katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mkono na Mbunge wa Morogoro kusini Mhe.Prosper Mbena katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwaaga viongozi mbalimbali Serikali,chama na dini wakifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na  viongozi mbalimbali wa Serikali,chama na dini mara baada ya kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwaaga viongozi mbalimbali wa chama na dini mara baada ya kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

 

Muonekano wa Stendi mpya na ya kisasa ya Msamvu iliyozinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.