Daily Archives: May 21, 2018

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA KAMATI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM.MEI 21,2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru wajumbe wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam. Mei 21, 2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru wajumbe wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyekiti wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM  Dkt  Bashiru Ally alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru wajumbe wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo mbalimbali ya uchunguzi toka kwa Mwenyekiti wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM Dkt. Bashiru Ally alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo mbalimbali ya uchunguzi toka kwa Mwenyekiti wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM Dkt. Bashiru Ally alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kupokea External Hard Drive yenye video na sauti za wahojiwa wote toka kwa Mwenyekiti wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM Dkt. Bashiru Ally alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole alipokutana na Sekretarieti ya CCM pamoja na Tume aliyounda kuhakiki mali  za Chama hicho na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo mbalimbali ya uchunguzi toka kwa Mwenyekiti wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM Dkt. Bashiru Ally alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo mbalimbali ya vielelezo mbalimbali vilivyopatikana katika uchunguzi toka kwa Mwenyekiti wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM Dkt. Bashiru Ally alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo mbalimbali ya uchunguzi toka kwa Mwenyekiti wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM Dkt. Bashiru Ally alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018 .

 Ofisi Ndogo za CCM mtaa wa Lumumba Jijini Dar es salaam

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mzee Philip Mangula alipowasili kukutana na  Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM  na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.MEI 21,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.Mei 21,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.Mei 21,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kuwapongeza wabunge hao wa Tanzania waliochaguliwa kushika nafasi za juu katika Bunge la Afrika.Mei 21,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge Mboni Mhita kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.Mei 21,2018.

Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele akizungumza na Wanahari Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika Mboni Mhita.Mei 21,2018.