Monthly Archives: June 2018

RAIS WA ZIMBABWE MHE.EMMERSON MNANGAGWA AWASILI NCHINI NA KUPOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI.JUNI 28,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama akimsubiri mgeni wake Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa akiwasilli nchini katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama huku mgeni wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akimlaki mtoto baada ya kuakabihiwa Ua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya Rais huyo wa Zimbabwe kuwasili nchini.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikumbatiana  na mgeni wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya Rais huyo wa Zimbabwe kuwasili nchini.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgeni wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa kwa Viongozi wa Ulinzi na Usalama mara baada ya Rais huyo wa Zimbabwe kuwasili nchini katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere .Juni 28,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wakati nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Zimbabwe zikipigwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya Rais huyo wa Zimbabwe kuwasili nchini.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akipunga mkono kwa wananchi waliofika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya kazi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wakifurahi wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao cha pamoja na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika mkutano wa Waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam.Juni 28,2018.

 

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akizungumza katika mkutano wa Waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam.Juni 28,2018.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA SHIRIKA LA SIMU TANZANIA (TTCL), PAMOJA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI KUTOKA SHIRIKA HILO KATIKA UKUMBI WA KITUO CHA MIKUTANO CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.JUNI 21 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL),kabla ya kupokea gawio la serikali kutoka Shirika hilo katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akipiga makofi alipokuwa akimsiliza Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL),kabla ya kupokea gawio la serikali kutoka Shirika hilo katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akipokea hundi ya fedha kwaajili ya gawio la la Serikali la mwaka  kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba  na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akionyesha hundi ya fedha kwaajili ya gawio la la Serikali la mwaka aliyokabidhiwa  na Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba  na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufli akihutubia katika uzinduzi wa  upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL), pamoja na kupokea gawio la serikali kutoka Shirika hilo katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufli akihutubia katika uzinduzi wa  upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL), pamoja na kupokea gawio la serikali kutoka Shirika hilo katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akizindua rasmi upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL), pamoja na kupokea gawio la serikali kutoka Shirika hilo katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbalawa (Mb),Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Seleman Kakoso, Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba  na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu.wengine ni Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbalawa (Mb),Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Seleman Kakoso, Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba  na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu,Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Dora.wengine ni Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbalawa (Mb),Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Seleman Kakoso, Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba  na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu,Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TTCL .wengine ni Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbalawa (Mb),Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Seleman Kakoso, Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba  na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu,Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Shirika la Simu Tanzania Waziri Kindamba  mara baada ya uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omary Nundu mara baada ya uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Seleman Kakoso mara baada ya uzinduzi wa upanuzi wa huduma za Shirika la Simu Tanzania (TTCL) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Juni 21 2018.