Daily Archives: July 2, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 2,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Makame Mnyaa Mbarawa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Isack Kamwelwe kuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kangi Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Kangi Lugola akila Kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Jacob Kingu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kailima Ramadhani kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Thomas Mihayo kuwa Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Omar Ramandani Mapuri kuwa Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Moses Kusiluka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

Viongozi mbalimbali walioapishwa wakila Kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali walioapishwa wakitia saini viapo vyao vya maadili kwa Viongozi wa Umma mara baada ya kuapa.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KITABU CHA DKR.REGNALD MENGI.JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Alhaji Ali Hassan Mwinyi,Dkt.Regnald Mengi na Mkewe Bi.Jackline Mengi pamoja na Profesa Mkandara wakiwa wamesimama wakati  wimbo wa Taifa ukiimbwa kabla ya kuzindua kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Alhaji Ali Hassan Mwinyi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media Dkt.Regnald Mengi mara baada ya kumaliza kuzumgumza katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akihotubia katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mkono wa watoto wa Mwenyekiti wa IPP media Dkt.Regnald Mengi katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiinua kitabu juu mara baada ya kukizundua rasmi kitabu hicho cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikisoma kitabu mara baada ya kukizundua rasmi kitabu hicho cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Limited Dkt.Regnald Mengi mara baada ya kukizundua rasmi kitabu chke kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuzindua kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Binti Wakonta Kapunda mlemavu aliyeshinda tuzo ya mashindano ya wazo la biashara lililoandaliwa na  Mwenyekiti wa Makampuni  IPP Limited Dkt.Regnald Mengi   mara baada yaa kukizundua rasmi kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuzindua kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.