Daily Archives: July 10, 2018

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 10,2018

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally alipowasili kwaajili ya kikao cha Kamati kuu katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally kabla ya kikao cha Kamati kuu kuanza katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.

 

 

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipiga makofi na wajumbe wengine mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa kikao cha Kamati kuu katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akitoa vitendea kazi mara baada ya kuwasili katika kikao cha Kamati kuu katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.

Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally akizungumza katika kikao cha Kamati kuu kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.

 

 

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha Kamati kuu katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.