Daily Archives: July 14, 2018

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWAAPISHA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA PAMOJA NA NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 14,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike akipiga saluti mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. Julai 14,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Joseph Edward Sokoine kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Balozi Joseph Edward Sokoine akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi mara baada ya kumuapisha Balozi Joseph Edward Sokoine kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike akizungumza mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapishwa viongozi hao wawili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapishwa viongozi hao wawili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike ( watatu kutoka kulia),Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Balozi Joseph Edward Sokoine(watatu kutoka kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wapili kutoka kulia, viongozi wengine wa Serikali pamoja na Maafisa mbalimbali kutoka Jeshi la Magereza nchini.Julai 14,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizugumza na Maafisa mbalimbali kutoka Jeshi la Magereza nchini mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizugumza jambo na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike pamoja na Kamishna Mstaafu wa Jeshi hilo la Magereza Dkt. Juma Ali Malewa Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna Mstaafu wa Jeshi hilo la Magereza Dkt. Juma Ali Malewa Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 14,2018