Daily Archives: July 29, 2018

RAIS DKT.JOHN MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WATOA POLE KWA MWANAHABARI ERIC SHIGONGO KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MZAZI JIJINI DAR ES SALAAM .JULAI 29,2018

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam. Julai 29, 2018  kutoa   pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam, Julai 29, 2018. Kushoto ni mwanafamilia Bw. Daudi Machumu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima za mwisho wakiwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam.Julai 29, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mwanafamilia wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam,Julai 29, 2018  kutoa   pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mwanafamilia Bi Leah James wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam.Julai 29, 2018  kutoa   pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Mama Veneranda Shigongo, mke wa  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam.Julai 29, 2018  kutoa   pole.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela wakati  Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018.