Daily Archives: November 8, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA UAE, CANADA NA SPAIN.IKULU JIJINI DAR ES SALAAM .NOVEMBA 8,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnel  kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018  

Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnel akisalimiana na katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Dkt.Faraji Kasidi Mnyepe  mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnel  mara baada ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Spain nchini Mhe. Maria Pedros Carrtero  kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Spain nchini Mhe. Maria Pedros Carrtero  mara baada yapokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Spain nchini Mhe. Maria Pedros Carrtero  mara baada yapokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam .Novemba 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi mara baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi mara baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY ANNA MENGI KANISA LA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Dkt John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018.

Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media Dkt.Regnald Mengi mara baada ya kuzungumza wakati wa Ibada ya kuaga  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018.

Watoto wa marehemu Regina na Abdiel Mengi wakiingia kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki 

Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki 

Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018.

 

Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kutoa heshima zao za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa baada ya kushiriki  katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018.