Daily Archives: December 18, 2018

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akiongea kabla ya ufunguzi wa  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dar salaam.Desemba 18, 2018

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar salaam. Desemba 18, 2018

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dar salaam. Desemba 18, 2018

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dar salaam. Desemba 18, 2018

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dar salaam.Desemba 18, 2018