Monthly Archives: January 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA OLUSEGUN OBASANJO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JANUARI 16,2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 16, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick .Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 16, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick mara baada ya kupokea Hati zake za Utambuliso Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick mara baada ya kupokea Hati zake za Utambuliso Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad Chembe Munthali Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad Chembe Munthali mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad Chembe Munthali mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi mteule wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar kabla ya kupokea Hati zake za utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019. 

Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 16, 2019.

Balozi Mteule wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad Chembe Munthali akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16, 2019.

Balozi Mteule wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16, 2019.