Daily Archives: January 22, 2019

RAIS DKT. JOHN POMBHE MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 22,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa Madini baada ya kuhudhuria na kuhutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam JanuarI 22, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam . Januari 22, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha mjadala na wadau wa madini nchini  wakati wa  Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 22, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko.

Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) Na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid  Nsekela akieleza mikakati ya umoja huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Januari 22, 2019. 

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini (FEMATA) Bw. John Bina  akisoma risala yake katika Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 22, 2019. 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 21, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Angela Kairuki kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na wanahabari mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika  tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.