Daily Archives: February 10, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki na waumini wengine katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. February 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na masista na waumini wakati wa  Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro Jijini Dar es salaam. February 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na Jaji Mstaafu Thomas Mihayo wakati wa  Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam.February 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate wa Sakramenti Takatifu toka kwa  Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dkt. Alister Makubi  wakati wa  Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam.February 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dkt. Alister Makubi baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. February 10, 2019. Katikati ni mmoja wa viongozi wa kanisa hilo  Dkt. Adelhelm James Meru