Daily Archives: March 7, 2019

RAIS KAGAME WA RWANDA AWASILI NCHINI NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. MACHI 7,2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akifurahia zawadi ya Kinyago aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akifurahia zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro mara baada ya kupewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.Machi 7,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.