Daily Archives: April 5, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KITUO CHA AFYA CHA MBONDE MASASI PIA AFUNGUA BARABARA YA MANGAKA-NAKAPANYA-TUNDURU KM 137 PAMOJA NA BARABARA YA MANGAKA –MTAMBASWALA KM 65.5 NANYUMBU MKOANI MTWARA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masasi mara baada ya kufungua kituo cha Afya cha Mbonde kilichopo Masasi mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara, wakati akikagua moja ya Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya cha Mbonde mara baada ya kukifungua Masasi mkoani Mtwara.

Sehemu ya Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya cha Mbonde mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Masasi mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara, wakati akikagua chumba cha upasuaji katika wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya cha Mbonde Masasi mkoani Mtwara. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara akiangalia mashine ya kutoa dawa ya usingizi kkwa wagonjwa katika chumba cha upasuaji kwa wa mama wajawazito.

Sehemu ya wakazi wa Masasi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia mara baada ya kufungua kituo cha afya cha Mbonde.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungua mkono wananchi hawaonekani pichani wakati akiondoka eneo la kituo cha Afya cha Mbonde.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kituo cha Afya cha Mbonde mara baada ya kukifungua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mikangaula iliyopo Nanyumbu mkoani Mtwara wakati akielekea Mangaka kwenda kufungua barabara.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Nanyumbu mara baada ya kuwasili kutoka Masasi kwa ajili ya kufungua barabara ya Tunduru-Mangaka-Mtambaswala yenye jumla ya km202.5

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Nanyumbu mara baada ya kuwasili kutoka Masasi kwa ajili ya kufungua barabara ya Tunduru-Mangaka-Mtambaswala yenye jumla ya km202.5

Picha za juu (Drone Photos) za majengo ya Kituo cha Afya cha Mbonde kilichopo katika Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Kituo hicho kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kikiwa ni moja ya vituo vya afya vipya 13 vya Mkoa wa Mtwara na vituo vya afya vipya 352 vilivyojengwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini Tanzania.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru pamoja na viongozi mbalimbali wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto wanane kutoka kushoto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru wa kumi kutoka (kushoto) pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto kulia pamoja na Mwakilishi Mkuu wa JICA hapa nchini Naofumi Yamamura mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

Kwaya ya JKT Mlale ikiimba katika sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo Tunduru mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tunduru kabla ya kuifungua rasmi barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tunduru kabla ya kuifungua rasmi barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Tunduru mara baada ya kuwahutubia.