Daily Archives: April 8, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Phaustine Kasike mara baada ya kuwasili katika eneo la Mashamba ya Mahindi ya Gereza la Kilimo na Mifugo la Kitai lililopo Mbinga mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Mashamba ya mahindi ya Gereza la Kilimo na Mifugo la Kitai lililopo Mbinga mkoani Ruvuma huku akitoa maelekezo kwa viongozi hao wa Jeshi la Magereza nchini.

Sehemu ya Mashamba hayo ya Gereza la Kilimo na Mifugo la Kitai lililopo Mbinga mkoani Ruvuma ambayo yamelimwa ekari 650 za mahindi katika mwaka huu.

Sehemu ya Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza wakisikiliza hotuba ya . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliyokuwa akiitoa katika eneo hilo la Kitai Mbinga mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza katika eneo la Gereza la Kitai mara baada ya kukagua mashamba ya mahindi ya Gereza hilo lililopo Mbinga mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa na mwanafunzi wa darasa la saba Cristian Josephat Komba ambaye alizungumza kuhusu uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi ya Kitai. Rais Dkt. Magufuli alichangia kiasi cha Shilingi milioni tano kwa ajili ya ujenzi wa vyoo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa na mwanafunzi wa darasa la saba Cristian Josephat Komba ambaye alizungumza kuhusu uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi ya Kitai. Wapili kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Onesmo Lwena

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanafunzi wa katika Shule ya Msingi ya Kitai mara baada ya kuwachangia kiasi cha Shilingi milioni tano.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanafunzi wa katika Shule ya Msingi ya Kitai mara baada ya kuwachangia kiasi cha Shilingi milioni tano.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Phaustine Kasike mara baada ya kuwahutubia

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAHINDI CHA MLALE JKT SONGEA MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kulia, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi CDF Jenerali Venance Mabeyo, watano kutoka kulia, Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu watano kutoka kushoto, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi wanne kutoka kushoto pamoja na Mawaziri, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi wakivuta utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mashine za Kiwanda cha kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma huku akipata maelezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia unga wa mahindi (Sembe) uliopakiwa tayari kwa ajili ya kuingia sokoni katika kiwanda hicho cha kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anatoka ndani ya Kiwanda hicho cha kuchakata mahindi pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi CDF Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya ukaguzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya awali ya mashine za kuchakata mahindi katika kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamanda wa Jeshi la Wananchi JWTZ mara baada ya kuwasili kiwandani hapo.

Sehemu ya Mashine za Kiwanda hicho cha Kuchakata mahindi chha JKT Mlale.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Gawio la Shilingi Milioni 700 kutoka kwa Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu mara baada ya uzinduzi wa Kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akibonyeza kitufe kuwasha mitambo ya kuchakata mahindi katika kiwanda hicho.