Daily Archives: April 9, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika majani ikiwa ni hatua ya awali ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mitambo ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hatua za kutengeneza majani ya Chai katika mitambo, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliojitokeza katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Joseph Kakunda mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.Ole Sendeka mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Mhe. Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anna Makinda   mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Mhe. Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwekezaji wa kiwanda cha chai cha Kabambe Sir Ian Wood kutoka Wood Foundation mara baada ya kufua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMEZINDUA KITUO CHA AFYA MADABA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MADABA MKOANI RUVUMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Kijiji cha Mageuzi Wilaya ya Namtumbo wakati akiwa njiani kuelekea Madaba mkoani Ruvuma.Ambapo Mhe.Rais amechangia Shilingi Milioni nane kwa Shule ya Msingi na Sekondari Mageuzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Kijiji cha Mageuzi Wilaya ya Namtumbo wakati akiwa njiani kuelekea Madaba mkoani Ruvuma.Ambapo Mhe.Rais amechangia Shilingi Milioni nane kwa Shule ya Msingi na Sekondari Mageuzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa kijiji cha Ndelenyuma ambapo awali kilikuwa ni kitongoji na sasa ametangaza rasmi kuwa kijiji alipokuwa akielekea Madaba mkoani Ruvuma kwenye uzinduzi wa kituo cha Afya Madaba. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen pamoja na wadau wa Maendeleo wakifunua kitambaa kuashiria Uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen pamoja na wadau wa Maendeleo wakipiga makofi mara baada ya kufunua kitambaa kuashiria Uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe. Mhe.Frolence Mattli pamoja na wadau wa Maendeleo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe.Frolence Mattli pamoja na wadau wa Maendeleo kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono pamoja na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe.Frolence Mattli,Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja pamoja na wadau wa Maendeleo alipokuwa akikagua Wodi ya Wazazi ya Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagua kitanda cha kujifungulia katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagua Vitanda katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagua Vifaa katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe.Frolence Mattli,Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja pamoja na wadau wa Maendeleo wakiimba wimbo wa taifa wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.