Daily Archives: April 9, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAHINDI CHA MLALE JKT SONGEA MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kulia, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi CDF Jenerali Venance Mabeyo, watano kutoka kulia, Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu watano kutoka kushoto, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi wanne kutoka kushoto pamoja na Mawaziri, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma.