Daily Archives: April 24, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS PROF.MUTHARIKA KATIKA IKULU YA KAMUZU ILIYOPO LILONGWE NCHINI MALAWI. APRILI 24, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika pamoja na Mawaziri na Watendaji wa Serikali kabla ya Kusaini Mikataba ya Makubaliano ya Masuala mbalimbali yanayohusu Nchi zote mbili katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakishuhudia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Prof. John Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi Dkt.Lois Fabiano wakiweka Sahihi kwenye Mikataba ya Makubaliano katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kwa Zawadi aliyompatia mara baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha ya Twiga na Mlima Kilimanjaro Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kinyago Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Prof. John Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi Dkt.Lois Fabiano pamoja na Mawaziri na Viongozi wengine wa Sreikali ya Tanzania na Malawi katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMEWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU 2.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka ndani ya ndege mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa na Mizinga 21 ya Rais mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Malawi kwa heshima yake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Malawi waliofika kumlaki katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwasalimia baadhi ya wananchi waliojitokeza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika, Mama Janeth Magufuli pamoja na Prof. Gertrude Mutharika   kabla ya kuweka mashada ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wameshika mashada ya maua tayari kuyaweka katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiweka mashada ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisali mara baada ya kuweka mashada ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi. April 24, 2019.

Kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi Hayati Prof. Bingu Mutharika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Bunge Malawi (nyuma yake ni mkewe Mama Janeth Magufuli akishuhudia) April 24, 2019.