Daily Archives: May 2, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI WA MBARALI MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Barafu Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwahutubia wanachi. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Rujewa Wilayani Mbarali mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili katika uwanja huo wa mkatano wa Barafu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Rujewa Wilayani Mbarali mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili katika uwanja huo wa mkatano wa Barafu.

Wananchi wa Mbarali wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika uwanja wa Barafu.

Sehemu ya wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Barafu Mbarali kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia.

Barabara ya TANZAM highway sehemu ya Igawa-Mbeya eneo la Igawa ikiwa katika mandhari ya kupendeza mara baada ya ukarabati mkubwa wa Barabara hiyo. 

RAIS MHE. DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI YA UWATA ILIYOPO JIJINI MBEYA PIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mbeya, Wabunge, Mawaziri, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

Mandhhari ya hospitali ya UWATA iliyopo jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika katika uzinduzi wa Hospitali ya UWATA jijini Mbeya mara baada ya kuizindua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika katika uzinduzi wa Hospitali ya UWATA jijini Mbeya mara baada ya kuizindua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Inyala wakati akiwa njiani kuelekea Igurusi mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mswiswi wakati akiwa njiani kuelekea Chimala.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igurusi hawaonekani pichani mara baada ya kuwasili katika eneo hilo akitokea jijini Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chimala Wilayani Mbarali mkoani Mbeya.