Daily Archives: May 3, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAKTABA YA CHUO CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ( MUST) NA KUZINDUA MRADI WA UAPANUZI WA KIWANDA CHA SARUJI CHA MBEYA SIMENTI . MEI 03, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo mkoani Mbeya mara baada ya kuwahutubia katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya MUST.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya MUST Zakia Megji, Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakati akitoka kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya Chuo hicho.

Sehemu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya MUST, SAUT na Mzumbe mkoani Mbeya wakisikiliza hotuba iliyokuwa iukitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya MUST

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya chuo hicho cha MUST.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya MUST Zakia Megji, Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako  wakisikiliza maelezo kuhusu mradi huo  kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya Chuo hich.

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya MUST Zakia Meghji pamoja na Mkuu wa Chuo cha MUST Prof. Aloyce Mvumi wakifurahia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuchangia Tsh.Bilioni Tano kwaajili ya ujenzi wa Mabweni ya Chuo hicho wakati wa hafla yakuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya Chuo hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Kamshina Msaidizi wa Polisi James Kasusura kuhusu Ujenzi wa Barabara inayolekea Chuo Cha MUST wakati wa Hafla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya Chuo cha MUST Jijini Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsiliza Mkuu Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila aliposimama na kuzungumza na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria upanuzi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria upanuzi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Saruji inayotengenezwa na kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe. 

Sehemu ya Wafanyakazi wa Kiwanda Cha Saruji wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuangalia Saruji inayotengenezwa na kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Meneja wa Kiwanda hicho Bi. Isle Boshoff mara baada ya kuzindua upanuzi wa  kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri, Naibu Spika,Mkuu wa Mkoa wa Mbeya pamoja na Menejimenti na Watumishi wa kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.