Daily Archives: May 6, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA WA IMF IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa
Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. mAbebe Aero
Selassie alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es
salaam. Mei 6, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)
Bw. Abebe Aemro Selassie alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 6, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha  Mkurugenzi wa
Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro
Selassie kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango na Waziri
wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba
Kabudi alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es
salaam .Mei 6, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)
Bw. Abebe Aemro Selassie na ujumbe wake pamoja na  Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Philip Mpang, Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Profesa palamagamba Kabudi na Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mipango Bw. Doto james na maofisa wa Wizara alipokutana na
kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 6,
2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Mkurugenzi wa Idara
ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro
Selassie baada ya kukutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar
es salaam. Mei 6, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara
ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro
Selassie akiongea na wanahabari akiwa na  Waziri wa Fedha na Mipango
Dkt. Philip Mpang, Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango Bw. Doto James na maofisa wa Wizara baada ya kukutana na
kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 6,
2019