Daily Archives: May 20, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MAENDELEO WA SWEDEN MHE PETER ERIKKSON IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia picha ya kuchorwa Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam . Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na  Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden na ujumbe wake pamoja na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje wa baada ya kukutana na kufanya naye  mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MPOKI ULISUBISYA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Dkt. Mpoki Ulisubisya akiweka sahihia baad ya kumuapisha kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi nyenzo za kazi Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Dkt. Mpoki Ulisubisya akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma baada ya kumuapisha
kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mzee Ulisubisya Mwasumbi baba mzazi wa Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha mwanae kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mke wa Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha mumewe kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019. Wengine ni Baba na wana familia ya Balozi huyo mpya