Daily Archives: June 13, 2019

RAIS WA KONGO (DRC) MHE. FELIX TSHISEKEDI AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE DKT. MAGUFULI JUNI 13, 2019

Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikabidhiwa Ua la ishara ya Upendo na kumkaribisha Nchini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikagua paredi maalumu aliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa

Gwaride maalumu lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi na mwenyeji wake Rais Dkt.John Pombe Magufuli wakitoa heshima katika hafla ya mapokezi iliyofanyika katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakitazama kikundi cha ngoma wakati wa sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakiwapungia mikono wananchin waliojitokeza katika sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakiwapungia mikono wananchin waliojitokeza katika sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungmza na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa Mwaliko wa Rais Dkt.Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimkabidhiu zawadi ya Picha ya Wanyama Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa Mwaliko wa Rais Dkt.Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa Mwaliko wa Rais Dkt.Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa Mwaliko wa Rais Dkt.Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassani Mwinyi kwa Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam katika Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt.Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam. Junin 13, 2019.

Rais Dkt.Magufuli amumwandalia mgeni wake Rais Felix Tshisekedi  keki ya Birthday ampongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam. June 13, 2019

Rais Dkt.Magufuli akipongezwa na mgeni wake Rais Felix Tshisekedi baada ya kumwandalia keki ya Birthday ampongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam. June 13, 2019

Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza  mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam. June 13, 2019

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUWAPONGEZA WABUNIFU WA UMEME WA MAJI KUTOKA MKOANI NJOMBE. IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JUNE 13,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5 wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute(Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5 wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasindikiza baada ya kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5 kuwakabidhi wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahi na wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019 Mbunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) aliyepongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwapongeza na mwenzake Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

Mbunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. Jailosi Ngairo aliyepongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwapongeza na mwenzake Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019

Mtangazaji wa Shirika la utangazajinTanzania TBC Tatu Abdalah kutoka Njombe akifuatilia kwa umakini tukio la kuwaponeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na mwenzake Bw. Jailosi Ngairo waliopongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019