Daily Archives: August 15, 2019

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE. CYRIL RAMAPHOSA MARA BAADA YA KUWASILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakati nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Afrika Kusini zikipigwa katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakipunga mkono kwa wananchi wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuelekeza jambo Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimueleza jambo Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kumpa zawadi ya Kinyago cha mpingo Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia zawadi ya picha aliopewa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. 

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa kushoto akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kupokea zawadi ya picha Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kubadilishana zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa pamoja na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakati wakizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakati wakizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kumaliza kikao chao na Waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakati wakizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.