Monthly Archives: September 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA USHAURI WAKE WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI WALIO TAYARI KUTUBU NA KURUDISHA FEDHA NA MALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupiga naye picha ya pamoja na ujumbe wake mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam. Septemba 30, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga katika picha ya pamoja na ujumbe wake mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 30, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na  na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 30, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 30, 2019. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Dkt. Moses Kusiluka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga kumkabidhi  taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 30, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 30, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga akitoa muhtasari kabla ya kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 30, 2019

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. KASSIM MAJALIWA AFAFANUA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA MHE. RAIS DKT. MAGUFULI KUHUSU MAPENDEKEZO YA KUPATA UFUMBUZI WA MIGOGORO YA MATUMIZI YA ARDHI NCHINI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini,Mkutano uliofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa na Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi alipokuwa akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini, Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi mara baada ya kuzungumza na Wanahabari juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini. Mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungmza na Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya pamoja ya Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi iliyoundwa na Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini. Mkutano uliofanika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019.