Daily Archives: October 5, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU TUNDUMA MKOANI SONGWE KWA AJILI YA UFUNGUZI WA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI (ONE STOP BORDER POST)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili Tunduma mkoani Songwe kwa ajili ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakipita kwenye Gadi ya Heshma iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika eneo hilo la Tunduma mkoani Songwe.

Wafanyakazi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania na Zambia wakiwa tayari kwa kutoa huduma katika eneo hilo la mpakani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakisalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania. 

Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu akifurahia hotuba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakisalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika eneo la Nakonde Zambia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kufungua Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Nakonde Zambia 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ufunguo wa Zambia kutoka kwa  Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika eneo la Nakonde Zambia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda mti pamoja na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kufungua Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Nakonde Zambia . 

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha
Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakipeana mikono baada ya kuzindua kwa pamoja wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakiwa
na wafadhili wa mradi wakipanda mti kama kumbukumbu baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakiondoka baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa
Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma  One-Stop Border Post upande wa Zambia.  Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsihi Mkuu wa Wilaya ya Nakonde
Bw. Alex Sinkala kusimama baada ya kumpigia magoti kumshukuru kwa masada wa shilingi milioni tano taslimu ili kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondary ya Nakonde wakati akihutubiua wananchi wa Zambia Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia. Oktoba 5, 2019

 

Rais Dkt John Pombe Magufulii akihutubiua wananchi wa Zambia
Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia. Oktoba 5, 2019

 

Rais Dkt John Pombe Magufulii akihutubiua wananchi wa Zambia
Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia. Oktoba 5, 2019

 

Rais Dkt John Pombe Magufulii akihutubiua wananchi wa Zambia
Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakipeana mikono baada ya kukada  utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde  One-Stop Border Post upande wa Tanzania,  Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa
Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde  One-Stop Border Post upande wa Tanzania  Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MJI WA TUNDUMA PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA MPEMBA-ISONGOLE KM 50.3 TUNDUMA MKOANI SONGWE

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma katika eneo la Mpemba Tunduma mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya majengo ya Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma katika eneo la Mpemba Tunduma mkoani Songwe.

Ujenzi wa majengo ya Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma katika eneo la Mpemba Tunduma mkoani Songwe ukiwa katika hatua za mwisho.

Mfano wa hospitali hiyo ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma utakavyokuwa mara baada ya kukamilika.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Viongozi wengine kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati akiwasili Mpemba mkoani Songwe .

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mtoto Joan Schinga mmoja wa wanakwaya ya Watoto ya Light Angels ya Kanisa la Moravian Tunduma ambao waliimba wimbo wa kukemea Rushwa mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mpemba mkoani Songwe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.

Wananchi wa Mpemba wakiwa katika shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo hilo.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mbozi wakati akielekea Mpemba mkoani Songwe.Wanakwaya ya Light Angels ya Kanisa la Moravian Tunduma mkoani Songwe wakiimba wimbo maalum wa kukemea Rushwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.