Daily Archives: October 14, 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, WIKI YA VIJANA NA KUMBUKIZI YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI LINDI

Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

Vijana wa Halaiki katika sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa
Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu
Mjini Lindi.  Oktoba 14, 2019

Kikundi cha utamaduni cha Dege la Jeshi kikitumbuiza kwenye
sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya
Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi.  Oktoba 14,2019

Wanewnguaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) wakitumbuiza
kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

Msanii wa Kizazi Kipya Kala Jeremiah akitumbuiza kwenye sherehe
za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20
ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi.  Oktoba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa Jukwaa kuu na viongozi wengine wa kitaifa  sherehe  za Kilele za
Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizoongoza katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu  Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

 

Mwenge wa Uhuru mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kupokea  kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu  Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa Jukwaa kuu na viongozi wengine wa kitaifa wakati Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama “Harmonize” ama “Konde Boy” akitumbuiza kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizoongoza katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

Wabunge wa Lindi na Viongozi wengine wakiserebuka na Msanii
Rajabu Abdul Kahali maarufu kama “Harmonize” ama “Konde Boy”  kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

 

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wengine
wakiserebuka na Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ama Konde Boy kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi Naibu Kamishna wa TAKUKURU Brigedia Jenerali john Mbungo ripoti aliyokabidhiwa na kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa wakati wa hotubia  yake kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihotubia  kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019